Tuesday, February 19, 2013

KATIKA PICHA: OSCAR PISTORIUS ALIPOKUWA MAHAKAMANI KUSOMEWA SHITAKA LA MAUAJI YA MPENZI WAKE

Written By Tryphone Nyahinga on Tuesday, February 19, 2013 | 10:24 PM

 Too much to bear: Blade Runner Oscar Pistorius weeps in the dock as he is formally charged with the murder of his model girlfriend Reeva Steenkamp at Pretoria Magistrates' Court this morning

UPDATES: Blade runner na nyota wa paralympic  Oscar Pistorius, leo hii amejikuta akimwaga machozi baada ya kuanza kutajwa kosa lake  la kwanza la mauji katika mahakama ya hakimu , Pretoria leo hii asubuhi.
hakukubaliana na shtaka kuwa kamuua mpenzi wake ambae alikua ni model  wa FHM, Reeva Steenkamp, katika masaa ya mwanzo ya siku ya valentine
waendesha mashtaka waliiambia mahakama hiyo kuwa, wanaweza kubishana kuwa yale yalikua ni mauaji yaliyopangwa kabla, na mauaji serious zaidi yenye kuchukua adhabu ya kufungwa maisha jela
 Overcome with emotion: The double amputee bows his head in his hands after prosecutors tell the court they may upgrade the charge to pre-meditated murder, an offence that carries a mandatory life term
kuondokana na hisia, pistorius alifarijiwa na baba yake, kaka zake na dada zake baada ya kuskika sauti ya kilio cha kwikwi kutoka kwake ndani ya chumba cha mahakama kilichokua kimejaa watu.
kusikilizwa kwa kesi hiyo baada ya kuibuka kwa picha ya silaha  inayoaminika kuwa ni 9amm pistol, inayosemekana kutumika katika mauaji hayo. ilionekana katika mfuko wa plastic ukiwa umebebwa na polisi
 Support: Pistorius's father, Henke, reaches out to his son after his emotional court appearance
kutokana na taarifa zilizotolewa asubuhi ya leo na vyombo vya habari nchini humo, walinzi wa usalama katika eneo analoishi Oscar walimkuta Oscar na mwili wa steenkamp bafuni baada ya kupigwa risasi mara nne kupitia mlangoni

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA